Mathayo 22:24 BHN

24 Basi, wakamwambia, “Mwalimu, Mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, ili ampatie ndugu yake watoto.

Kusoma sura kamili Mathayo 22

Mtazamo Mathayo 22:24 katika mazingira