Mathayo 22:25 BHN

25 Basi, hapa petu palikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa kisha akafa bila kujaliwa watoto, akamwachia ndugu yake huyo mke wake mjane.

Kusoma sura kamili Mathayo 22

Mtazamo Mathayo 22:25 katika mazingira