Mathayo 22:4 BHN

4 Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, ‘Waambieni wale walioalikwa: Karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ndama wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari; njoni harusini.’

Kusoma sura kamili Mathayo 22

Mtazamo Mathayo 22:4 katika mazingira