Mathayo 24:1 BHN

1 Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:1 katika mazingira