2 Yesu akawaambia, “Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa.”
Kusoma sura kamili Mathayo 24
Mtazamo Mathayo 24:2 katika mazingira