Mathayo 24:3 BHN

3 Yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, “Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?”

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:3 katika mazingira