Mathayo 24:38 BHN

38 Maana nyakati hizo, kabla ya gharika kuu, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka Noa alipoingia ndani ya ile safina.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:38 katika mazingira