Mathayo 24:39 BHN

39 Hawakujua kuna nini mpaka ile gharika ilipotokea, ikawakumba wote. Ndivyo itakavyokuwa wakati Mwana wa Mtu atakapokuja.

Kusoma sura kamili Mathayo 24

Mtazamo Mathayo 24:39 katika mazingira