Mathayo 25:6 BHN

6 Usiku wa manane kukawa na kelele: ‘Haya, haya! Bwana arusi anakuja; nendeni kumlaki.’

Kusoma sura kamili Mathayo 25

Mtazamo Mathayo 25:6 katika mazingira