Mathayo 26:63 BHN

63 Lakini Yesu akakaa kimya. Kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, tuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu!”

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:63 katika mazingira