Mathayo 26:64 BHN

64 Yesu akamwambia, “Wewe umesema! Lakini nawaambieni, tangu sasa mtamwona Mwana wa Mtu ameketi upande wa kulia wa yule Bwana Mwenye Nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.”

Kusoma sura kamili Mathayo 26

Mtazamo Mathayo 26:64 katika mazingira