Mathayo 27:11 BHN

11 Yesu alisimamishwa mbele ya mkuu wa mkoa. Basi, mkuu wa mkoa akamwuliza, “Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamwambia, “Wewe umesema.”

Kusoma sura kamili Mathayo 27

Mtazamo Mathayo 27:11 katika mazingira