Mathayo 27:32 BHN

32 Walipokuwa wakienda, wakamkuta mtu mmoja jina lake Simoni, mwenyeji wa Kurene, wakamlazimisha kuuchukua msalaba wake Yesu.

Kusoma sura kamili Mathayo 27

Mtazamo Mathayo 27:32 katika mazingira