Mathayo 28:1 BHN

1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko ya siku ile ya Jumapili, Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikwenda kutazama lile kaburi.

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:1 katika mazingira