Mathayo 28:2 BHN

2 Ghafla kukatokea tetemeko kubwa la nchi; malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akalivingirisha lile jiwe, akalikalia.

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:2 katika mazingira