Mathayo 28:6 BHN

6 Hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. Njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:6 katika mazingira