Mathayo 28:7 BHN

7 Basi, nendeni upesi mkawaambie wanafunzi wake kwamba amefufuka kutoka kwa wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; huko mtamwona. Haya, mimi nimekwisha waambieni.”

Kusoma sura kamili Mathayo 28

Mtazamo Mathayo 28:7 katika mazingira