Mathayo 8:3 BHN

3 Yesu akanyosha mkono, akamgusa na kusema, “Nataka! Takasika.” Mara huyo mtu akapona ukoma wake.

Kusoma sura kamili Mathayo 8

Mtazamo Mathayo 8:3 katika mazingira