Mathayo 8:4 BHN

4 Kisha Yesu akamwambia, “Angalia, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajioneshe kwa kuhani, na kutoa sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia kwamba umepona.”

Kusoma sura kamili Mathayo 8

Mtazamo Mathayo 8:4 katika mazingira