Mathayo 9:16 BHN

16 “Watu hawatii kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu. Maana kiraka hicho kitararua hilo vazi kuukuu, na pale palipokuwa pameraruka pataongezeka.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:16 katika mazingira