Mathayo 9:17 BHN

17 Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vikuukuu. Wakifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. Ila, watu huweka divai mpya katika viriba vipya, na vyote viwili, viriba na divai, vikahifadhiwa salama.”

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:17 katika mazingira