Mathayo 9:18 BHN

18 Yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja Myahudi alifika, akamwinamia na kusema, “Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali twende umwekee mkono wako naye ataishi.”

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:18 katika mazingira