Mathayo 9:22 BHN

22 Basi, Yesu akageuka akamwona, akamwambia, “Binti, jipe moyo! Imani yako imekuponya.” Mama huyo akapona saa ileile.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:22 katika mazingira