Mathayo 9:27 BHN

27 Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda, vipofu wawili walimfuata wakipiga kelele, “Mwana wa Daudi, utuhurumie!”

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:27 katika mazingira