28 Yesu alipoingia nyumbani, watu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, “Je, mnaamini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?” Nao wakamjibu, “Naam, Bwana.”
Kusoma sura kamili Mathayo 9
Mtazamo Mathayo 9:28 katika mazingira