35 Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika masunagogi yao akihubiri Habari Njema ya ufalme wa Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.
Kusoma sura kamili Mathayo 9
Mtazamo Mathayo 9:35 katika mazingira