Mathayo 9:36 BHN

36 Basi, alipowaona watu, makundi kwa makundi, aliwaonea huruma kwa sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi kama kondoo wasio na mchungaji.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:36 katika mazingira