Mathayo 9:8 BHN

8 Watu wote katika ule umati walipoona hayo, walishangaa na kuogopa; wakamtukuza Mungu aliyewapa binadamu uwezo wa namna hiyo.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:8 katika mazingira