Mathayo 9:9 BHN

9 Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata.

Kusoma sura kamili Mathayo 9

Mtazamo Mathayo 9:9 katika mazingira