Tito 1:15 BHN

15 Kila kitu ni safi kwa watu walio safi; lakini hakuna chochote kilicho safi kwa wale waliochafuliwa na wasioamini, maana dhamiri na akili zao zimechafuliwa.

Kusoma sura kamili Tito 1

Mtazamo Tito 1:15 katika mazingira