Tito 1:16 BHN

16 Watu kama hao hujidai kwamba wanamjua Mungu, lakini kwa matendo yao humkana. Ni watu wa kuchukiza mno na wakaidi, hawafai kwa jambo lolote jema.

Kusoma sura kamili Tito 1

Mtazamo Tito 1:16 katika mazingira