16 Katika mkono wake wa kulia alikuwa na nyota saba, na kinywani mwake mlitoka upanga wenye makali kuwili. Uso wake uling'aa kama jua kali kabisa.
Kusoma sura kamili Ufunuo 1
Mtazamo Ufunuo 1:16 katika mazingira