Ufunuo 1:5 BHN

5 na kutoka kwa Yesu Kristo, shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka kwa wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia.Yeye anatupenda, na kwa damu yake ametufungua kutoka vifungo vya dhambi zetu,

Kusoma sura kamili Ufunuo 1

Mtazamo Ufunuo 1:5 katika mazingira