4 Na hizo ngurumo saba ziliposema, mimi nikataka kuandika. Lakini nikasikia sauti kutoka mbinguni: “Maneno ya ngurumo hizo saba ni siri; usiyaandike!”
Kusoma sura kamili Ufunuo 10
Mtazamo Ufunuo 10:4 katika mazingira