Ufunuo 12:11 BHN

11 Ndugu zetu wamemshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno waliloshuhudia; maana hawakuyathamini maisha yao kuwa kitu sana, wakawa tayari kufa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:11 katika mazingira