Ufunuo 12:14 BHN

14 Lakini mama huyo akapewa mabawa mawili ya tai apate kuruka mbali sana na hilo joka, mpaka mahali pake jangwani ambapo angehifadhiwa salama kwa muda wa miaka mitatu na nusu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:14 katika mazingira