Ufunuo 12:5 BHN

5 Kisha, mama huyo akajifungua mtoto wa kiume ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa Mungu na kwenye kiti chake cha enzi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 12

Mtazamo Ufunuo 12:5 katika mazingira