Ufunuo 13:1 BHN

1 Kisha nikaona mnyama mmoja akitoka baharini. Alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na kila pembe ilikuwa na taji. Jina la kashfa lilikuwa limeandikwa juu ya vichwa hivyo.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:1 katika mazingira