Ufunuo 13:4 BHN

4 Watu wote wakaliabudu lile joka kwa sababu lilimpa huyo mnyama uwezo wake. Wakamwabudu pia huyo mnyama wakisema, “Nani aliye kama huyu mnyama? Ni nani awezaye kupigana naye?”

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:4 katika mazingira