Ufunuo 13:8 BHN

8 Wote waishio duniani watamwabudu isipokuwa tu wale ambao majina yao yameandikwa tangu mwanzo wa ulimwengu katika kitabu cha uhai cha Mwanakondoo aliyechinjwa.

Kusoma sura kamili Ufunuo 13

Mtazamo Ufunuo 13:8 katika mazingira