Ufunuo 14:6 BHN

6 Kisha, nikamwona malaika mwingine anaruka juu angani akiwa na Habari Njema ya milele ya Mungu, aitangaze kwa watu waishio duniani, kwa mataifa yote, makabila yote na watu wa lugha zote na rangi zote.

Kusoma sura kamili Ufunuo 14

Mtazamo Ufunuo 14:6 katika mazingira