Ufunuo 16:1 BHN

1 Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka hekaluni ikiwaambia wale malaika saba, “Nendeni mkamwage mabakuli hayo saba ya ghadhabu ya Mungu duniani.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:1 katika mazingira