Ufunuo 16:10 BHN

10 Kisha, malaika wa tano akamwaga bakuli lake juu ya makao makuu ya yule mnyama. Giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi zao kwa sababu ya maumivu,

Kusoma sura kamili Ufunuo 16

Mtazamo Ufunuo 16:10 katika mazingira