Ufunuo 17:3 BHN

3 Kisha, nikakumbwa na Roho mpaka jangwani. Huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. Mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:3 katika mazingira