Ufunuo 17:7 BHN

7 Lakini malaika akaniambia, “Kwa nini unashangaa? Mimi nitakuambia maana iliyofichika ya mwanamke huyu na mnyama huyo amchukuaye ambaye ana vichwa saba na pembe kumi.

Kusoma sura kamili Ufunuo 17

Mtazamo Ufunuo 17:7 katika mazingira