Ufunuo 18:1 BHN

1 Baada ya hayo, nilimwona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni. Alikuwa na uwezo mkuu, na dunia ikamulikwa na mng'ao wake.

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:1 katika mazingira