Ufunuo 18:7 BHN

7 Mpeni mateso na uchungu kadiri ya kujigamba kwake,kulingana na kuishi kwake kwa anasa.Maana anajisemea moyoni: ‘Ninaketi hapa; mimi ni malkia.Mimi si mjane, wala sitapatwa na uchungu!’

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:7 katika mazingira