Ufunuo 18:9 BHN

9 Wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.

Kusoma sura kamili Ufunuo 18

Mtazamo Ufunuo 18:9 katika mazingira