17 Kisha, nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, “Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.
Kusoma sura kamili Ufunuo 19
Mtazamo Ufunuo 19:17 katika mazingira