Ufunuo 2:20 BHN

20 Lakini nina jambo moja dhidi yako: Wewe unamvumilia yule mwanamke Yezebeli anayejiita nabii, anayefundisha na kuwapotosha watumishi wangu wafanye uzinzi na kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu.

Kusoma sura kamili Ufunuo 2

Mtazamo Ufunuo 2:20 katika mazingira